Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao matatu kwa mawili dhidi ya timu ya Black Leopards ya Afrika kusini.
Magoli ya Yanga yakifungwa na mchezaji Jerry Tegete na Domayo ,huu ni mchexo wa kwanza tangu yanga itoke nchini Uturuki ilipokuwa imeweka kambi ya wiki mbili
0 maoni:
Post a Comment