Wednesday, January 30, 2013

YANGA YAINGIZWA MJINI NA LUMPOPO KUHUSU KAMBAGE TWITE

Katibu mkuu wa YANGA MWALUSAKO amesema wao walikamirisha taratibu zote za kunasa Twite kwa kumnunua siyo kumchukua kwa mkopo.

Katibu amesema Lumpopo walikosea kutuma taarifa fifa kuwa yanga imemchukua kwa mkopo wakati siyo kweli.

Fifa imemzuia Kambage Twite kucheza msimu huu wa ligi kutokana na klabu ya Yanga na Lumpopo kushindwa kukamilisha taratibu za usajiri

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU