Airtel Tanzania yatembelea shule ya Kiromo mwishoni mwa wiki hii na kukabidhi sare za shule pamoja na viatu vyenye dhamani ya shilling
milioni 50. Katika msaada huo Airtel imetoa sare za shule zikiwemo
Kaptura 600 , skirt 600 , mashati 1193 na viatu 728, hafla ya makabidhiano ilifanyika katika shule hiyo iliyopo Kiromo -Bagamoyo
Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Tanzania Dangio Kaniki akimvalishasare za shule na viatu mwananfunzi wa shule ya msingi Kiromozilizotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel mwishoni mwa wiki hii.Airtel metoa msaada wa sare za shule zikiwemo Kaptura 600 , skirt 600, mashati 1193 na viatu 728 vyote vyenye dhamani ya shilingi milioni50 kwa shule ya msingi KiromoKaptura 600 , skirt 600 , mashati 1193 na viatu 728, hafla ya makabidhiano ilifanyika katika shule hiyo iliyopo Kiromo -Bagamoyo
Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Tanzania Dangio Kaniki (Kulia)akimpongeza Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Kiromo (kulia) baada yamakabidhiano yaliyofanyika mwishoni mwa wiki hii wakishuhudiwa nameneja wa huduma kwa jamii wa Airtel Hawa Bayumi (wa pili kulia)akifuatiwa na mmoja wa wazazi wa wanafunzi wa shule hiyo bi ZuwenaSalumu, Airtel metoa msaada wa sare za shule zikiwemo Kaptura 600 ,skirt 600 , mashati 1193 na viatu 728 vyote vyenye dhamani ya shilingimilioni 50 kwa shule ya msingi Kiromo.
Airtel Tanzania yatembelea shule ya Kiromo mwishoni mwa wiki hii nakukabidhi sare za shule pamoja na viatu vyenye dhamani ya shillingmilioni 50. Katika msaada huo Airtel imetoa sare za shule zikiwemoKaptura 600 , skirt 600 , mashati 1193 na viatu 728, hafla yamakabidhiano ilifanyika katika shule hiyo iliyopo Kiromo -Bagamoyo.
0 maoni:
Post a Comment