RAIS WA BENDI YA KALUNDE DEO MWANAMBILIMBI AKIONGOZA MASHAMBULIZI KATIKA MAONESHO MBALIMBALI
Watu
mbalimbali wako katika hekaheka ya kusherehekea siku ya wapendanao
maarufu kama Valentine’s Day. Lakini KALUNDE BAND inajiunga katika
sherehe hiyo ikiwa na sababu ya ziada kuserebuka na kuserebusha
mashabiki wake katika siku hii kwa onesho maalumu litalofanyika
Alhamisi siku ya Valentine pale katika kiota cha maraha cha wapendanao
cha Trinity maeneo ya Oysterbay jijini Dar es salaam karibu na Ubalozi
wa Uganda.
Onesho hilo litaanza Saa 1:00 jioni na kuendelea hadi saa 6:00 usiku.
Siku ya Valentine ni muhimu kwa Kalunde kwani ndiyo siku ambayo bandhii ilianzishwa. Band ilianzishwa tarehe 14.02.2006.
Kukupa
burudani hiyo ya kuadhimisha siku ya wapendanao sambamba na HAPPY
BIRTHDYA ya kutimiza miaka saba kamili ya KALUNDE BAND ni kundi zima la
bendi hiyo kama ifuatavyo.
Deo Mwanambilimbi - Rais wa Band - Muasisi wa Band.
Debora Nyangi - Meneja - Muasisi
Bob Rudala - Kiongozi wa wanamuziki
Bony Kaprobo - Solo Guitar - Band Stage Leader
Shehe Mwakichui - Keyboard Player / Mwimbaji - Muasisi wa band
Edson Allen (Eddy) - Solo Guitar
Othman Amri Majuto - Bass Guitar #
Rajab Nyunyusa - Tumba
Alfa - Drummer
Mackie Fanta - Mwimbaji
Devotha, Mwapwani Yahya, Shila, Amina, wote hawa ni waimbaji
ENEO : TRINITY OYSTERBAY KARIBU NA UBALOZI WA UGANDA
KIINGILIO: Tsh. 5,000.00
GETINI : ZAWADI NI GLASS OF WINE AU SHAMPEIN
MUDA: SAA 1:00 JIONI - SAA 6:00 USIKU
PIA COUPLE ITAKAYOPENDEZA WATAPEWA ZAWADI MAALUM USIKU HUO.
1 maoni:
It's not my first time to go to see this site, i am browsing this web page dailly and get good information from here every day.
my website :: career at home
Post a Comment