Rais Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia, akishuhudiwa na mwenyeji wake
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akizindua rasmi jina la
Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old
Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na
iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Madiwani wa kinondoni
MC Ephraim Kibonde akiwa kazini katika uzinduzi rasmi wa jina la
Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old
Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na
iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Sehemu ya barabara iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai
Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkaribisha Rais Mwai kibaka
na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uzinduzi rasmi wa
jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara
ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkabidhi zawadi ya kasha la
Zanzibar Rais Mwai kibaka huku Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akishuhudia katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya
wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua
chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi jina la
Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old
Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na
iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
Bendi ya Vijana Jazz ikitumbuiza wakati wa uzinduzi rasmi jina la
Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old
Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na
iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
0 maoni:
Post a Comment