Mkutubi msaidizi wa Maktaba ya Watoto wenye ulemavu katika shule ya
Msingi Uhuru Mchanganyiko, joyce Nyamuhokwa (katikat) akimwelezea
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC), Clement Mshana
kuhusu maktaba hiyo wakati shirika hilo kwa kushirikiana na kampuni ya
magodoro ya Vita Foam (T) ltd walipokwenda kutoa msaada wa magodoro 100
yenye thamani ya sh milioni 3, Dar es Salaam leo. Wengine ni Mkuu wa
Shule hiyo, Anna Mang'enya (wa pili kushoto), Mwakilishi wa Mkurugenzi
Mkuu wa Vitafoam, Justine Mwakalinga (wa tatu kushoto) na wafanyakazi
wengine wa Vita Foam, TBC na walimu wa shule hiyo.

Msingi Uhuru Mchanganyiko, Joyce Nyamuhokwa akimuonesha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC), Clement Mshana
(kushoto) moja ya nyenzo zinazotumiwa na wanafunzi walemavu kuandikia wakati TBC kwa kushirikiana na kampuni ya
magodoro ya Vita Foam (T) ltd walipokwenda kutoa msaada wa magodoro 100
yenye thamani ya sh milioni 3, Dar es Salaam leo
Mkutubi msaidizi wa Maktaba ya Watoto wenye ulemavu katika shule ya
Msingi Uhuru Mchanganyiko, Joyce Nyamuhokwa (kulia) akimuonesha
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC), Clement Mshana
(kushoto) moja ya kompyuta zinazotumiwa na wanafunzi walemavu kusomea
wakati TBC kwa kushirikiana na kampuni ya
magodoro ya Vita Foam (T) ltd walipokwenda kutoa msaada wa magodoro 100
yenye thamani ya sh milioni 3, Dar es Salaam leo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC), Clement Mshana
akikabidhi moja ya mashine inayotumiwa na watoto walemavu wa macho
kuandikia kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, Anna Mang'enya
wakati TBC kwa
kushirikiana na kampuni ya
magodoro ya Vita Foam (T) ltd walipokwenda kutoa msaada wa magodoro 100
yenye thamani ya sh milioni 3, Dar es Salaam leo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC), Clement Mshana
akikabidhi sehemu ya magodoro 100 yenye thamani ya shilingi milioni 3
kwa Mratibu wa Elimu Kata ya Gerezani, Seraphina Mdamu kwa ajili ya
matumizi ya wanafunzi walemavu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko
wakati shirika hilo kwa kushirikiana na kampuni ya magodoro ya Vita Foam
(T) Limited walipokwenda kutoa msaada huo shuleni hapo, Dar es Salaam
leo. Wengine ni Mkuu wa Shule hiyo, Anna Mang'enya
na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Vitafoam, Justine Mwakalinga (wa
pili kulia).
Mkutubi msaidizi wa Maktaba ya Watoto wenye ulemavu katika shule ya
Msingi Uhuru Mchanganyiko, Joyce Nyamuhokwa (kulia) akimuonesha
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC), Clement Mshana
sehemu ya vitabu vya Maktaba ya watoto hao walemavu wakati TBC kwa
kushirikiana na kampuni ya
magodoro ya Vita Foam (T) ltd walipokwenda kutoa msaada wa magodoro 100
yenye thamani ya sh milioni 3, Dar es Salaam leo. Wa pili kushoto ni
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Vitafoam, Justine Mwakalinga.
0 maoni:
Post a Comment