Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia
hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa
katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya
kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake
maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia
hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa
katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya
kujeruhiwa na watu
wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake
maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa
Gazeti la Mwana Halisi, Said Kubenea.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia
hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa
katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya
kujeruhiwa na watu
wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake
maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti Mtendaji
wa Kampuni ya IPP Regnard Mengi.
Mwenyekiti wa
Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, akionekana jinsi alivyojeruhiwa.
0 maoni:
Post a Comment