Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 Taifa wakiwa katika Moja ya Kumbukumbu hizo
Washiriki wa Miss Utalii Taifa 2012/13 wakiwa na Afisa Utamaduni wa
Manispaa ya Ilala Bi. Shani wa kwanza kushoto, ambaye ndiye alikuwa
anatoa maelezo yote ya kina kuhusiana na eneo hilo Muhimu kwa Taifa la
Tanzania.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika Mnara wa Mashujaa uliopo Mnazi Mmoja , Manispaa ya Ilala
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa nje ya Jengo la Manispaa ya Ilala
Rais wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo, akielezea
kwa kina juu ya mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 na kumshukuru
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa kwa kuwakaribisha
katika Manispaa Hiyo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Muheshimiwa Jerry Silaa
akiwakaribisha washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Manispaa
ya Ilala
0 maoni:
Post a Comment