Minister of State in Prime Minister’s Office (Invesstment and
Empowerment), Dr Mary Nagu (2nd-L) hands over Tanzania Investment
Centre incentives certificate for Twiga Cement Aggregates Project to
Germany State Secretary for Foreign Affairs Prof Harald Braun at a brief ceremony in Dar es Salaam over the weekend. Others from left are TIC Executive Director Raymond Mbilinyi, TPCC Managing Director,
Pascal Lesoinne, State Secretary Federal Ministry of Economics and Technology in Germany, Anne Ruth Herkes and Germany Ambassador to Tanzania, Klaus Peter Brandes.

Waziri katika Ofizi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk
Mary Nagu (katikati) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement,
Pascal Lesoinne (kulia),wakiwasili katika hafla ambayo Waziri Nagu
alikabidhi cheti cha uwekezaji cha mradi wa kokoto za kujengea wa
Twiga Cement kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani,
Prof. Harald Braun (hayupo pichani)kwa niaba ya kampuni hiyo
kilichotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakati wa uzinduzi
wa mradi huo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi
Rasilimaliwatu wa Twiga Cement, Jayne Nyimbo na Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa TIC, Raymond Mbilinyi.
Mtendaji wa TIC, Raymond Mbilinyi.
Waziri katika Ofizi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk
Mary Nagu (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement,
Pascal Lesoinne, alipokwenda kukabidhi cheti cha uwekezaji cha mradi
wa kokoto za kujengea wa Twiga Cement kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Nje wa Ujerumani, Prof. Harald Braun (hayupo pichani)kwa
niaba ya kampuni hiyo kilichotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania
(TIC) katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam.
Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TIC,Raymond Mbilinyi.
Baadhi ya wageni waliohudhuria uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam.
0 maoni:
Post a Comment