| Bondia
Omari Zungu akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Haruna Sinondo
wakati wa mchezo wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita
Sinondo alishinda kwa K,O raundi ya pili |
| Bondia
Said Mkonde kushoto akioneshana uwezo wa kurushiana makonde na Said
Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki
iliyopita Mbelwa alishinda kwa K,o raundi ya pili |
| Bondia Said Mkonde kushoto akioneshana uwezo wa
kurushiana makonde na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika
Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbelwa alishinda kwa K,o raundi ya pili |
| Bondia
Chilambo Hemed kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na
Boniface Urasa wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki
Chanika Chilambo alishinda kwa point |
| Bondia Said Mbelwa akipambana |
| Bondia Omari Zungu akioneshana umwamba wa kutupiana
makonde na Haruna Sinondo wakati wa mchezo wao uliofanyika Chanika
mwishoni mwa wiki iliyopita Sinondo alishinda kwa K,O raundi ya pili |
| Refarii Saidi Chaku akimwinua mkono juu Bondia saidi Mbelwa kuashilia ni mshindi katika mpambano huo |






0 maoni:
Post a Comment