Mshindi wa shilingi
milioni 15 wa promosheni ya Amka Milionea Juma Ibrahim Hamza, ambaye ni
fundi uashi akilia kwa furaha na kushindwa kuongea mara baada ya
kutangazwa mshindi wa shilingi milioni 15 kupitia promosheni ya Amka
millionea. Airtel imewazawadia washindi wawili wa milioni 15 walioibuka
washindi mwenzi March.
Meneja Uhusiano wa Airtel
Bwana Jackson Mmbando ( kushoto) akimkabithi mfano wa hundi wa shilingi
milioni 15 bwana Adnan Ayub khan mara baada ya kuibuka mshindi wa mwenzi
wa promosheni ya amka millionea. Akishuhudia ni Afisa masoko wa Airtel
Bi Khalila Mbowe
Afisa masoko wa Airtel Bi
Khalila Mbowe (kulia) akimkabithi mfano wa hundi wa shilingi milioni 15
bwana Juma Ibrahim Hamza mara baada ya kuibuka mshindi wa mwenzi wa
promosheni ya amka millionea. Akishuhudia ni Meneja Uhusiano wa Airtel
Bwana Jackson Mmbando
0 maoni:
Post a Comment