Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na David Wilhem (katikati) kutoka Democratic
USA, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu kwa mazungumzo Ikulu Jijini
Dar es Salaam, leo Mei 9, 2013. Kushoto ni mmoja kati ya walioongozana na ujumbe huo, Michael Granger
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Democratic USA,
kuanzia (Kulia) kwa Makamu ni David
Wilhem, Michael Granger, Chris Bulinger na mwenyeji wao, Dastan Mrutu,
kutoka Business Council, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 9,2013 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Democratic
USA, kuanzia (Kulia) ni David Wilhem, Chris Bulinger, (kulia kwa
Makamu) ni Michael Granger, na mwenyeji wa ujumbe huo, Dastan Mrutu, kutoka
Business Council, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 9, 2013. Picha na OMR








0 maoni:
Post a Comment