Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa Bunge
la China, Lu Youngxiang (wa pili kushoto) aliyeongozana na ujumbe wake
wakati walipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 21, 2013 kwa mazungumzo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na
Mwenyekiti Mstaafu wa Bunge la China,
Lu Youngxiang (wa tatu kushoto) aliyeongozana na ujumbe wake baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 21, 2013
0 maoni:
Post a Comment