Monday, May 6, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONANA NA UJUMBE KUTOKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na Ujumbe kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo Mei 6, 2013.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, uliofika Ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo Mei 6, 2013 kwa mazungumzo. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Profesa Gang H.W, baada kumaliza mazungumzo na ujumbe kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, uliofika Ikulu Dar es Salaam, leo Mei 6,2013 kwa mazungumzo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU