Thursday, May 16, 2013

MSANII DIPO AJIUNGA KWENYE MASUMBWI

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?ui=2&ik=c5efcfe0c1&view=att&th=13eaa6ddce3cbdce&attid=0.1&disp=inline&realattid=file0&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-2CrkZwFZoIv7yIISqZzQc&sadet=1368687771335&sads=FHeLVfnYauPYugboXkfnCK-uKOw&sadssc=1 
Kocha wa mchezo wa masumbwi Klabu ya Amana CCM ,Kondo Nassoro Kushoto akimwelekeza msanii wa michezo ya kuigiza kwenye Luninga, Haruna Mussa 'dipo' Dar es salaam jana jinsi ya kutupa makonde alipokwenda kufanya mazoezi ya ngumi kwa ajili ya kujiweka sawa sawa katika kuakikisha anafanya vizuri kwenye fani yake

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU