Mkuu wa Mkoa wa Tanga,
Chiku Galawa (kushoto) akipokewa na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Fedha zinazofuata Kanuni
za Kiislamu ‘NBC Islamic Banking’ cha
Benki ya Taifa ya Biashara, Yassir Masoud alipokwenda kufungua semina ya siku
moja kwa wanawake wajasiriamali waislamu iliyoandaliwa na NBC mjini Tanga leo. Katikati ni Meneja Tawi la NBC Tanga Deusdedit Mashalla.
Baadhi wa washiriki wa
semina ya siku moja iliyoandaliwa na Benki ya NBC Kitengo cha Islamic
Banking wakiwa katika semina hiyo jijini Tanga leo.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa akifungua semina ya siku
moja kwa wanawake wajasiriamali waislamu iliyoandaliwa na Benki ya NBC Kitengo
cha Islamic Banking mjini Tanga LEO. Kulia ni Mkuu wa kitengo hicho, Yassir
Masoud na kushoto ni Meneja Operesheni wa NBC Tawi la Tanga Kibibi Said Kibao.
0 maoni:
Post a Comment