Ngasa akivaa jezi yake baada ya kupewa na katibu mkuu wa YANGA.
Klabu ya yanga imemyakua mshambuliaji wa klabu ya simba Mrisho Ngass ambaye alikwenda simba kwa mkopo akitokea katika klabu ya Azam.
Ngasa amengia mkataba wa miaka miwili na Yanga na amedai hana mkataba wowote na simba anachojua yeye alikwenda kwa mkopo kutoka Azam hivyo amemaliza mkataba na ameamua kurudi katika klabu ayake ya zamani anayoipenda
0 maoni:
Post a Comment