Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, akiwa ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete, wakipokelwewa nyumbani kwa Waziri
wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa
CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, na Mama Salma Kikwete, wakitambulishwa kwa watoto wa Waziri
wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa
CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau nyumbani kwa marehemu Magomeni jijini Dar es salaam walipofika kufariji wafiwa
Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri
wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa
CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezi nyumbani kwa Waziri
wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa
CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma KLikwete wakiwafariji wafiwa nyumbani kwa Waziri
wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa
CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho
Kikwet akiwa na watoto wa marehemu Alfred Tandau. Kulia kwake ni Bw.
Henry Tandau na kushoto kwake ni Bw Julius Tandau. Hapo nyumbani kwa
marehemu aliyekuwa Waziri
wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa
Taifa wa
CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni
katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
0 maoni:
Post a Comment