Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun
Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakizindua
rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
akiangalia katika darubini vimelea vya magonjwa ya mihogo vilivyo
katika sehemu ya utafiti baada ya kuzindua rasmi rasmi jengo la
sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun
Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa katika
picha ya pamoja na wadau wa maendeleo bnaada ya kuzindua rasmi jengo
la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun
Obasanjo wakisiliza maelezo ya tafiti mbalimbali za mihogo baada ya
kuzindua rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa
ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
0 maoni:
Post a Comment