Kundi la sarakasi la Bombeso likitoa burudani kwa mashabiki
waliohudhuria tamasha la tabasamu na Tigo MINI KABAANG lililofanyika
kwenye viwanja vya sabasaba Morogoro
Mashabiki wakikamata T-sheti ya Tigo iliyotupwa kutoka jukwaani
wakati wa tamasha la Tabasamu na Tigo MINI KABAANG lililofanyika kwenye
viwanja vya sabasaba Morogoro
Mashabiki wakishindana jukwaani kucheza wakati wa tamasha la Tabasamu na Tigo MINI KABAANG -Morogoro
Msanii Madee kutoka kundi la TIPTOP Connection akifanya vitu vyake
jukwaani huku mashabiki lukuki wakishuhudia wakati wa tamasha la
Tabasamu na Tigo MINI KABAANG lililofanyika kwenye viwanja vya sabasaba
Morogoro.
Msanii maarufu wa Hiphop Roma Mkatoliki akiwapagaisha wapenzi wake
katika tamasha la tabasamu na tigo Mini Kabaang lililofanyika Morogoro
uwanja wa sabasaba lililofanyika kwenye viwanja vya sabasaba Morogoro
Msanii wa kizazi kipya Faridi Kubanda aka FID Q akimkabidhi mmoja wa
washabiki wako dada Manka simu na vocha katika tamasha la tabasamu
na Tigo MINI KABAANG lililofanyika kwenye viwanja vya sabasaba Morogoro
Msanii wa kizazi kipya miondoko ya Hip hop maarufu kama ney wa
Mitengo akimwaga burudani kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa kizazi
kipya wakati wa tamasha la tabasamu na Tigo MINI KABAANG Morogoro
0 maoni:
Post a Comment