Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariori wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri
Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013
kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali
yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu. Picha na OMR
0 maoni:
Post a Comment