Sunday, June 2, 2013

MASHINDANO YA MBUZI YALIVYOFANA JIJINI DSM

  Mbuzi wakishindana katika mbio zilzodhaminiwa na Benki ya FNB zilizopea jina la ‘The FNB Champions Cup’ katika mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam j
 Mbuzi wakishindana ili kumpata mshini wa katika mbio zilizopewa jina  ‘The Southern Sun Fillies Frolic’ wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam
 Washindi wa mbio za mbuzi za ‘The Kilitime Stake’ wakishangilia mara baada ya kumnalizika mwa mbio hizo  wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam mwishoni jana.  Zilidhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).
 Mbuzi wakishindana katika mbio zilizopewa jina  ‘Symbion Sweep Stakes’ wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam
 Washindi wa mbio za mbuzi za ‘Marvelous Mantra Mile ’ wakipiga picha pamoja na mbuzi wao aliyeibuka kidedea katika mbio hizo  wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam
Mbuzi wakiwekwa tayari kuchuana katika mbio za ‘The Coca Cola Open Happiness Sweep Stakes’    wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU