Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji (kulia) akikabidhi sehemu ya Compyuta 15, kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa Mwenyekiti wa
Kamati ya Maendeleo ya jimbo la Chwaha Bw. Muhammed Ali Selemani, ikiwa ni sehemu ya ahadi ya
Mhe. Makamu, kwa Kituo hicho cha Chwaka Computer Training Center.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana Juni 11, 2013, kwenye Kituo hicho. Kulia ni Mtendaji Mkuu Ofisi ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Bw. George Mulamula
Baadhi ya Wajumbe
wa Kamati ya Maendeleo ya jimbo la chwaka wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Uguja, (hayupo pichanio) wakati alipokua akizungumza baada ya makabidhiano hayo, alipomwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Bilal
Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji (kulia) akikabidhiwa sehemu ya
Compyuta 15, na Mtendaji Mkuu Ofisi ya Tume ya Sayansi
na Teknolojia (COSTECH) Bw. George Mulamula, ambapo Mkuu huyo wa mkoa
wa Kusini unguja, alizikabidhi kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo
ya jimbo la Chwaha Bw. Muhammed Ali Selemani, kwa niaba ya Mhe. Makamu
wa Rais Dkt. Bilal, kwa ajili ya Kituo cha Chwaka Compyuter
Training Center, ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Mhe. Makamu Dkt. Bilal kwa
kituo hicho. Makabidhiano hayo yalifanyika jana
Juni 11, 2013, kwenye Kituo hicho. Kulia ni . Kushoto ni Naibu Katibu
wa Makamu wa Rais, Mohamed Khamis.
Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji, akizungumza na Wajumbe wa kamati
ya Maendeleo ya Jimbo la Chwaka mara baada ya makabidhiano ya Computer
15, ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Makamu wa Rais Kwenye Kituo cha Chwaka
Computer Training Center. Kulia ni Mwenyekiti
wa Kamati ya Maendeleo ya Chwaka Bw. Muhammed Ali (kushoto) ni Shekha
wa Shehia ya Chwaka Bw. Msaraka Pinja na Mtendaji Mkuu wa Sayansi na Teknolojia Bw George Mulamula. Makabidhiano hayo yalifanyika jana Juni 11, 2013, kituoni hapo
0 maoni:
Post a Comment