Msemaji wa simba Ezekiel Kamwaga amesema kutoka na taarifa ya serikali kuhusiana na usalama wao kuwa mdogo huko SUDAN hawatashiriki mashindano hayo mapaka waandaji wapadilishe eneo la kushiriki mashindano hayo ,
Tayari katibu mkuu wa CECAFA NICOLAUS MSONYE amethibitisha juu ya simba kutoshiriki mashindano hayo .
uamuzi wa Simba kujitoa katika mashindano hayo umekuja baada ya serikali kutangaza bungeni mjini Dodoma kuwa hauna imani na usalama nchini sudan
0 maoni:
Post a Comment