| Bondia Mtanzania Omari Kimweri anaefanya shughuli zake Australia kulia
akinyooshwa akimsukumia makonde mazito mfululizi bondia Ekkalak Saenchan wa Thailand na kufanikiwa kumtwanga kwa kwa KO raundi ya kwanza mwishoni mwa wiki iliyopita picha kwa niaba ya Mtandao wa SUPER D
Bondia Mtanzania Omari Kimweri
anaefanya shughuli zake Australia akimsikilizia mpinzani wake baada ya
kumtwanga kumi nzito na kuhesabilwa wakati wa mpambano wake ata hivyo
mpinzani wake akuendelea na kufanikiwa kupata ushindi wa K,O ya raundi
ya kwanza. |
0 maoni:
Post a Comment