Friday, July 5, 2013

PWANI WAFUNGUA MASHINDANO YA POOL

 amali Ngoma wa timu ya Flamingo akicheza pooltable wakati mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Pool table mkoa wa Pwani yaliyofanyika kwenye Baa ya Kontena Kibaha Maili moja, Pwani na kuzikutanisha Flamingo na Ya kwetu.
 Syakyala Mwansasu wa timu ya Flamingo akichecheza pooltable wakati mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Pool table mkoa wa Pwani yaliyofanyika kwenye Baa ya Konteina Kibaha Maili moja, Pwani na kuzikutanisha Flamingo na Ya kwetu
 Yakob Msando wa timu ya Kontena akimalizia mpira mweusi wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Pool table mkoa wa Pwani yaliyofanyika kwenye Baa ya Kontena Kibaha Maili moja, Pwani na kuzikutanisha Kontena na Kiluvya B.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU