Kivuko cha zamani kilichokuwa kikitumiwa na wananchi wa Ngara kuvuka mto Rusumo
Kivuko cha zamani kilichokuwa kikitumiwa na wananchi wa Ngara kuvuka mto Rusumo.
Kivuko kipya cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo kilichozinduliwa na Rais Kikwete Jumamosi Julai 27, 2013
Rais Kikwete akihutubia umati Ngara
Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma-Lusahunga katika wilayani Biharamulo
Rais Kikwete akiongea na wananchi katika sherehe ya kuzindua mradi
wa umeme vijijini katika kijiji cha Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe
Rais Kikwete akiongea na wananchi katika sherehe ya kuzindua mradi
wa umeme vijijini katika kijiji cha Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe
Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada
ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo Jumamosi Julai 27,
2013
Rais Kikwete akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha utamaduni cha
Ngara wakati wa uzinduzi wa kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo
wilayani Ngara.
Rais Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa Wahaya na kukakabidhiwa mgolole
na silaha za jadi za Wahaya katika sherehe ya kuzindua wilaya mpya ya
Kyerwa
0 maoni:
Post a Comment