Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kwanza 20 na
wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College
waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni
wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais
Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio
mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka
vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya bilauli toka kwa Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala wakati washiriki
wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National
Defence College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12,
2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka
mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao
kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki
kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya nembo toka kwa Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala wakati washiriki
wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National
Defence College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12,
2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka
mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao
kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki
kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha
Ulinzi cha Taifa (National Defence College walipomtembelea Ikulu jijini
Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu
mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki
hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha
kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami
pamoja na taasisi za serikali
0 maoni:
Post a Comment