Wednesday, August 21, 2013

TIGO YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA BAJAJI



  1. Mshindi wa droo ya tano wa promosheni  ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Furaha Kitigi akishuka kutoka kukagua Bajaji aliyokabidhiwa na Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama (kulia) katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.



  1. Mshindi wa droo ya tano wa promosheni  yaTigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Furaha Kitigi akipungia kutoka kwenye Bajaji yake mpya kabisa mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Usambazaji wa Bidhaa kutoka Tigo Bw. Suleiman Bushangama (kulia) katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam.


Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa droo ya tano wa promosheni  ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Happiness Simon katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam

Mshindi wa droo ya tano wa promosheni  ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Happiness Simon akionyeshea ufunguo wake wa Bajaji mpya yenye thamani ya Tsh 6,700,000 aliyokabidhiwa katika hafla iliyofanyika Tandika sokoni, Dar es Salaam. Akishuhudia ni Meneja Bidhaa wa Tigo Bw. Husni Seif

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU