Waziri Mkuu wa
Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Meya wa Jiji la Dar
es salaam Mstahiki Dkt Didas Masaburi wakati wa kuondoka kurejea
nyumbani baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku
tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013.
Waziri Mkuu wa
Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Mwenyekiti wa CCM wa
Dar es salaam Ndugu Madabida Masaburi wakati wa kuondoka kurejea
nyumbani baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku
tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013.
Waziri Mkuu wa
Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu ( Uwekezaji na Uwezeshaji), Dkt. Mary Nagu wakati wa
kuondoka kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa
ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013.
Waziri Mkuu wa
Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Meya wa Jiji la Dar
es salaam Mstahiki Dkt Didas Masaburi wakati wa kuondoka kurejea
nyumbani baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku
tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013.
Waziri Mkuu wa
Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es salaam Mhe Saidi Meck Sadick wakati wa kuondoka kurejea nyumbani
baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa
nchini leo Agosti 1, 2013.
Waziri Mkuu wa
Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange wakati wa kuondoka kurejea nyumbani baada ya
kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini
leo Agosti 1, 2013.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck
Shinwatra wakati wa kuondoka kurejea nyumbani kwa mgeni wake huyo baada
ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa
nchini leo Agosti 1, 2013.
Wasanii
wakishangilia wakati ndege iliyomchukua Waziri Mkuu wa Thailand Mhe
Yingluck Shinwatra ikipaa wakati wa kuondoka kurejea nyumbani kwa mgeni
huyo baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu
hapa nchini leo Agosti 1, 2013.
0 maoni:
Post a Comment