Friday, September 20, 2013

Airtel, Puma, Be Forward, Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, na Baraza la Taifa Usalama Barabarani waungana kuadhimisha wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani 2013

 Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akikabithi Tshirt  zitakazotumika katika wiki ya nenda kwa usalama kwa mwaka huu kwa Mkuu wa  kikosi cha usalama barabarani, ASP Mohamed Mpinga ambapo Airtel, Puma pamoja na  Be Forward ni wadhamini wa wiki ya usalama barabarani kwa mwaka huu. akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Puma Bwana Philippe Carsaleti
 Mkurugenzi Mkuu wa Puma Bwana Philippe Carsaleti wakwanza kushoto akifatiwa  na mwakilishi wa Be Forward bw Kohei Shibata na Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando kwa pamoja wakimkabithi Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, ASP Mohamed Mpinga stika za usalama barabarani kwa mwaka huu. Airtel, Puma pamoja na  Be Forward ni wadhamini wa wiki ya usalama barabarani kwa mwaka huu
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, ASP Mohamed Mpinga akionyesha stika za usalama barabarani kwa mwaka huu mara baada ya kukabithiwa na wadhamini wa wiki ya usalama kwa mwaka huu ambao ni Airtel, Puma pamoja na  Be Forward wakishuhudia (kutoka kushoto) mwakilishi wa Be Forward bw Kohei Shibata, Mkurugenzi Mkuu wa Puma Bwana Philippe Carsaleti na Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU