Sunday, September 15, 2013

ANATORY WATAMBA KUTWAA UBINGWA WA SAFARI POOL TAIFA 2013

 Nahodha wa klabu ya Anatori, Athumani Selemani(kulia) na Harid Mohamed wakishindana kulagi wakati wa mazoezi wakijiandaa na fainali za mashindano ya Pool Taifa yanayotarajiwa kufanyika Mkoani Morogoro Septemba 19-22,2013 katika ukumbi wa Tanzanite


                              Nahodha wa klabu ya  Pool ya Anatory,Athumani Selemani akilagi
                                           Nahodha wa klabu ya  Pool ya Anatory,Athumani Selemani akilagi

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU