Friday, September 13, 2013

SELF YAENDESHA MAFUNZO YA SIKU TANO KWA MAAFISA USHIRIKA NA WARAJISI WA SAIDIZI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

 Bibi Keis Issa Abdalla kutoka ofisi ya mwana sheria wa vyama vya ushirika Zanzibar akisoma risala kwa niaba ya ya maaofisa  ushirika waliohudhuria mafunzo yaliyo andaliwa na Self mkoani pwani
 Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Beatha Swai akiwa anafunga mafunzo ya maafisa Ushirika kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kushoto kwake ni Afisa mafunzo wa Self Bwana Christopher Illomo na kulia ni afisa ushirika na mrajisi wa vyama vya ushirika mkoa wa pwani Bi Khadija Mang'ra mafunzo hayo  yameandaliwa na Self ilikuwajengea uwezo katika majukumu ya  kusimamia sacos yamefanyika mkoani pwani picha na chris mfinanga

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU