Monday, September 16, 2013

WACHEZAJI WA AIRTEL RISING STARS WAKABITHIWA BENDERA KUSHIRIKI MASHINDANO MASHINDANO YA AFRIKA YA AIRTEL RISING STARS NIGERIA

 Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania,Angetile Osia (kushoto) akimkabizi bendera ya Taifa,kapteni wa timu ya vijana ya wasichana wa Artel Rising Stars,Stumai Abdallah timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.
 Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania,Angetile Osia (kushoto) akimkabizi bendera ya Taifa,kapteni wa timu ya vijana ya wanaume wa Artel Rising Stars,Athanas Shindeka timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania,Angetile Osia (kushoto) akikabizi bendera ya Taifa,kwa timu za vijana za wasichana na wanaume wa Artel Rising Stars ,timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU