Sunday, September 29, 2013

WAFANYAKAZI WA MASHIRIKA YA UMMA WACHUANA KATIKA MASHINDANO YA MBIO ZA BAISKELI YA SHIMIWI MJINI DODOMA

 Mkimbiaji wa mbio za Baiskeli wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Rajab Salum Sheikh (kushoto) akichuana na mpinzani wake wakati wa mashindano hayo ya Shimiwi, yaliyofanyika mjini Dodoma leo asubuhi, ambapo wakimbiaji walikimbia jumla ya Kilometa 36. Rajabu alimaliza mbio hizo na kushika nafasi ya tisa kati ya washiriki 22. Picha na OMR
Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliojitokeza kushuhudia mbio hizo.
  Baadhi ya washiriki wakimalizia mbio hizo.
Rajab, akipongezwa na wafanyakazi wenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais, baada ya kumaliza mbio hizo za Kilometa 36. Picha na OMR

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU