KOCHA WA MCHEZO wa ngumi Wilaya ya
muheza Mkoa wa Tanga Carles Muhiru amempatia bondia Fransic Cheka
Muhariko wa kwenda kuhamasisha mchezo wa ngumi siku ya idd alhaji ' idd pili' katika
viwanja vya jitegemee muheza ambapo siku hiyo kutakuwa na mapambano ya
ngumi
ambapo yeye atakuja kuwamasisha vijana ili waweze kusonga mbele na
mchezo huo ili waweze kufanya vizuri na kuliletea sifa taifa kama
alivyofanya yeye
akizungumza na blog ya Super D kutoka
muheza Mkoa wa Tanga Muhiru amesema unajua mimi namfundisha Cheka
mazoezi ya ziada sasa hapa kwangu wanamsikia mimi namfundisha bingwa
huyu sasa nimeamua kumpa mwaliko ili aje hapa watu wamuone kuwa ni yule
cheka aliyechukuwa ubingwa wa WBF kwa kumtwanga Mmarekani
Muhiru
alitoa rai kwa wadau kujitokeza kusapoti mchezo wa ngumi kwa njia moja
au nyingine kwa kuwa mchezo huo unapendwa na vijana wengi wanaofanya
vizuri inaweza kuwa ni ajira nzuri kwa vijana kama ilivyo kwa bonia
Fransic Cheka ambaye amekuwa akiwakilisha mkoa wa Morogoro ambapo kwa
sasa yeye ni bingwa wa Dunia
Pia ali karibisha Bungeni
Dodoma kushudia shughuli za bunge na alipotoka bungeni alipewa zawadi
nzuri na mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera kwa kumpatia Kiwanja
pamoja na Tani mbili za saruji pamoja na mabati kwa ajili ya kutengeneza
nyuma ata hivyo kwa kuchekuwa ubingwa huo cheka kumemuwezesha kupatiwa
viwanja viwili kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kisasa na serekali ya
mkoa huo
0 maoni:
Post a Comment