| Mabondia Ramadhani Shauli kushoto na Cosmas Cheka wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese . |
| Bondia Cosmas Cheka akipima uzito uku Ramadhani Shauli akiangalia mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese. |
| Bondia Ramadhani Shauli akipima uzito uku Cosmas Cheka akiangalia kwa umakini mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese Picha na www.superdboxingcoach. |
| BONDIA MOHAMED MATUMLA AKIPIMA AFYA KWA AJILI YA MPAMBANO WA KESHO |






0 maoni:
Post a Comment