Sunday, October 6, 2013

NBC YAKUTANA NA WADAU WA PPF KATIKA MKUTANO WAO ARUSHA

 
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Dkt. Aggrey Mlimka (Katikati), akisalimiana na Meneja Mkuu Kitengo cha Uhusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (Kushoto), katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa wajumbe waliokuwa wakishiriki Mkutano wa 23 wa Mwaka wa wanachama na wadau wa PPF jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu wa Hazina NBC, Pius Tibazarwa.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Dk. Aggrey Mlimka (katikati) akifurahi na Meneja Mkuu Kitengo cha Uhusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na NBC kwa ajili ya wadau na wanachama wa PPF wakati wa Mkutano wao wa 23 mjini Arusha mwishoni mwa wiki. Kulia ni       Mkuu wa Hazina wa benki hiyo, Pius Tibazarwa.

Meneja Mkuu Kitengo cha Uhusiano wa NBC, William Kallaghe (kulia) akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio (kaikati) wakati wa hafla hiyo. NBC imesema inathamini mchango mkubwa unaotoka kwa wadau na wanachama wa PPF kuchangia maendeleo ya benki hiyo. Katikati ni Mkuu wa Hazina wa NBC , Pius Tibazarwa.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa PPF, Dk. Aggrey Mlimka akibadlishana mawazo na Mkuu wa Hazina wa NBC, Pius Tibazarwa (kushoto), katika hafla hiyo. NBC imesema wadau na wanachama wa mfuko huo ni kati ya wateja wao muhimu hivyo hivyo hafla hiyo imewezesha pia kuwa karibu nao, kuwafahamisha huduma mbalimbali zitolewazo na NBC.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU