Friday, October 11, 2013

SCANIA 40 YEARS OF SERVICE TO INDUSTRY AND THE PEOPLE OF TANZANIA

Meneja Biashara muendeshaji wa Kampuni ya Scania Nchini Tanzania, Joseph Kayuzaa(kulia) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza kutimiza kwa miaka 40 ya huduma za Scania nchini,mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam jana.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Scania, Anders Friberg na Mwenyekiti wa Scania Kusini mwa Afrika, Steve Wager.

Mgeni rasmi msaidizi wa Mkurugenzi Mkuu wa huduma za Shirika la Reli Nchini,Festo Mwanyika(katikati),Balozi wa Swiden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker na Mkurugenzi Mkuu wa Scania, Steve Wager wakikata keki wakati wa hafla ya Kampuni ya Scania kutimiza miaka 40 ya huduma zake nchini Tanzania.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU