Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
(SACP) Liberatus Sabas akionyesha risasi zilizokutwa nyumbani kwa
mtuhumiwa wa ujambazi Jumanne Abdallah maarufu kwa jina la Babu G maeneo
ya Unga Ltd jijini hapa. (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi
Arusha)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
(SACP) Liberatus Sabas akiwaonyesha waandishi wa habari (Hawapo pichani)
bunduki aina ya shortgun iliyokutwa nyumbani kwa mtu anayejulikana kwa
jina na Jumanne Abdallah Maarufu kwa jina la Babu G (25) Unga Ltd jijini
hapa ambaye anatuhumiwa kuhusika katika matukio mbalimbali ya ujambazi
hapa nchini
0 maoni:
Post a Comment