Tuesday, November 19, 2013

TAZAMA PICHA TOKA KARIAKOO WAFANYABIASHARA WAAMUA KUFUNGA MABANGO YA KUPINGA MASHINE ZA EFD


Katika hali ya kuonyesha kwamba wafanyabiashara wa eneo la kariakoo hawataki wala kusikia kuhusu mashine za T.R.A,Wafanyabiashara hao wameamua kufunga mabango katikati ya mitaa yakiwa na ujumbe wa kupinga matumizi ya mashine hizo.

Leo ni siku ya pili kwa wafanyabiashara hao kugoma kufanya biashara,Swali la msingi je Serikali inaonaje hali hii ya wanainchi kukosa huduma?na pia huu ni mkoa wa nne sasa baada ya Mbeya,Morogoro na Mtwara

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU