Tuesday, December 17, 2013

MKAZI WA MOSHI AKABIDHIWA JENERETA YAKE YA WEKA UPEWE YA NBC

Displaying 01.JPG 
 Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Moshi, Ally Janja (wa tatu kushoto) akikabidhi funguo ya jenereta la umeme kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Michael Charles Kipingu katika hafla iliyofanyika katika tawi hilo mjini Moshi hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni Shedafa Omari Shedafa mmoja wa mashuhuda katika tukio hilo,  Mhasibu wa Tawi, Rose Ntwale, Lazaro Mollel, teller na Digna Sawalla Meneja Huduma kwa Wateja na Mauzo katika tawi hilo.
Displaying 02.JPG 
 Mshindi wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Michael Charles Kipingu (kushoto) akijaribu kuwasha jenereta yake mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa NBC Tawi la Moshi, Ally Janja (mwenye suti). Hafla hiyo ilifanyika mjini Moshi.
Displaying 03.JPG
Mshindi wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Michael Charles Kipingu (aliyechuchumaa karibu ya jenereta) akipiga picha ya kumbukumbu pamoja na wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la Moshi katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa mshindi huyo iliyofanyika katika tawi hilo hivi karibuni.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU