Tuesday, January 21, 2014

IDDI BONGE AJIANDAA KUMKABILI MWAKASANGA MARCH 23


Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto akimwelikeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoenderea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David Mwakasanga utakaofanyika ukumbi wa frends corner Manzese mazoezi hayo  katika klabu ya biafra iliyopo kigogo mburahati Dar es salaam

Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kulia akimwelikeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoenderea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David Mwakasanga utakaofanyika ukumbi wa frends corner Manzese mazoezi hayo 
 katika klabu ya biafra iliyopo kigogo mbulahati Dar es salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU