Thursday, January 30, 2014

MASHINDANO YA NGUMI MKOA WA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO


Bondia Cosmas Peter kushoto akipambana na Hfidhi Bamtula wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana kwenye mashindano ya Mkoa ambayo yanachagua bondia atakaewakilisha Mkoa wa Dar es salaam Bamtula alishinda kwa Point

Bondia Hafidhi Bamtula kushoto akitupa ngumi ambayo imenda hewani bila mafanikio alipokuwa akipambana na Cosmas Peter wakati wa Mashindano ya Mkoa wa Dar es salaa ambayo wanachagua mabondia wa mkoa huo Bamtula aklishinda kwa point mpambano huo

Bondia Emillian  Patrick kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamad Furahisha wakati wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam Patrick alishinda kwa point mpambano huo

Bondia Kasimu Mbutike kushoto akimtupia konde la mkono wa kushoto Yusufu Said wakati wa mashindano ya mkoa Wa Dar es salaam yaliyofanyika katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni Said alishinda kwa point 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU