Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel akimkaribisha Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia katika tukio la kumkaribisha lililofanyika jijini Dar es Salaam
: Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania Bwana Clement Mshana (kushoto) akimpongeza Mheshimiwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia wakati wa mapokezi yake katika Ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam Leo katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof. Elisante Olegabriel
: Naibu Waziri wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia
akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Bwana Kulwa Magingila wakati
wa mapokezi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo kushoto ni Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara Prof Elisante Olegabriel
: Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fennela Mukangara akimkaribisha Naibu Waziri Mheshimiwa Juma Nkamia katika Ofisi za Wizara zilizopo katika jengo la Mfuko wa Pensheni wa PSPF jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fennela
Mukangara akiongea na Wanahabari akiongea na Wanahabari wakati wa mapokezi ya
Naibu Waziri Mheshimiwa Juma Nkamia jijini Dar es Salaam leo wa kwanza kushoto
ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bwana Raphael Hokororo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akiongea na Wanahabari Ofisini kwake katika tukio la kumkaribisha lililofanyika jijini Dar es Salaam leo kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof Elisante Olegabriel
0 maoni:
Post a Comment