Friday, January 3, 2014

TEMEKE YATINGA FAINALI NETIBOLI

Bingwa mtetezi wa michuano ya taifa ya netiboli Temeke ametinga fainali ya michuano hiyo baada ya kuifunga timu ya Kinondoni magoli 63 kwa 36 katika michuano inayoendelea uwanja wa Taifa Jinini DSM.
Temeki itakutana na mshindi kati ya KATAVI au MOROGORO katika fainali

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU