Wananchi na Wanachama wa CCM Zanzibar
wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akihutubia kwenye uzinduzi wa kampeni za
uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika jana jioni 22 Januari
2014 katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtambulisha
mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki CCM Mahamoud Thabit Kombo kwenye
uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika
leo 22 Januari 2014 katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
0 maoni:
Post a Comment