Wednesday, January 1, 2014

YANGA YAKIMBIA MASHINDANO YA MAPINDUZI

Klabu ya YANGA imeingia mitini kushiriki mashindano ya kombe la mapinduzi kwa madai kuwa hawana benchi la ufundi.

Mashindano ya kombe la mapinduzi yanaanza leo huko visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa zanzibar.
Hii si mara ya kwanza yanga kukimbia mashindano ya kombe la mapinduzi kwa kutoa sababu kibao jambo ambalo linawanyima raha mashabiki wake kuona kikosi chao huko zanzibar

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU