Thursday, February 6, 2014

NGUMI ZA NELSON MANDELA OPEN CHAMPIONSHIP ZAFUNGULIWA KAWE


Bondia Fabian Gaudence kushoto akipambana na Hussein Mnimbo  wakati wa mashindani ya wazi ya Nelson Mandela  yabayofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe  jijini Dar es salaam Gaudence alishinda mpambano huo kwa pointi
Bondia Rashidi Samvu kutoka Kigoma  kushoto  akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hafidhi Kassimu wa Ngome
wakati wa mashindani ya wazi ya Nelson Mandela  yaofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe  jijini Dar es salaam
 

 
Bondia Part Kimweri kutoka Tanga  kushoto  akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Saidi Jabir wa Ngome Dar
wakati wa mashindani ya wazi ya Nelson Mandela  yaofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe  jijini Dar es salaam Kimweri alishinda mpambano huo kwa pointi
Baadhi ya viongozi wakifatilia mashindano hayo


Mkeni wa heshima katikati Diwani wa Kata ya Kawe Othumani Kipete akiwa na viongozi wa Shilikisho la mchezo wa ngumi za Ridhaa nchini kulia ni Rais wa shilikisho hilo Mutta Rwakatare  makamu wa rais Lukelo Willilo na
Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis

MAREFARII MABONDIA NA VIONGOZI WAKISUBILI KUFUNGULIWA KWA MASHINDANO HAYO


mjumbe wa bft antony mwangonda akiwa na makamu wa rais Lukelo Willilo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU