Thursday, February 13, 2014

OKWI HURU KUCHEZEA YANGA FIFA YAMALIZA UTATA

Shambuliaji wa kimataifa Okwi sasa ni mchezaji halali wa yanga baada ya shirikisho la soka hapa nchini TFF kupokea taarifa kutoka Fifa kuwa ni mchezaji wa yanga na wala madai ya simba hayahusiani na okwi.

Katibu mkuu wa TFF MWESIGA amesema Tff hakutaka kumbania Okwi bali ilitaka kujua ukweli kuhusiana na hali iliyokuwepo kwa maana hiyo ni mchezaji halali wa yanga

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU